Maambukizi ya COVID-19 yaendelea kushika kasi duniani kote

Your browser doesn’t support HTML5

India na Brazil zakabiliwa na ongezeko kubwa la maambukizo ya virusi vya corona kwa siku, wakati maambukizo hayo yakishika kasi Marekani.