Maambukizi mapya ya COVID-19 yaripotiwa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Maambukizi zaidi ya milioni tatu na vifo 120,000 vimeripotiwa Marekani wakati wataalam wa afya wakihimiza watu kuvaa barakoa kuepusha maambukizi.