Maalim Seif : "Tutalinda maamuzi ya wananchi wa Zanzibar

Your browser doesn’t support HTML5

Maalim Seif ambaye miezi ya karibuni alijiunga na Chama Cha ACT-Wazalendo asema wako tayari kukubali matokeo ya uchaguzi iwapo watashindwa kihalali.
Ameahidi kuwa ACT Wazalendo italinda maamuzi ya wananchi wa Zanzibar. Amesema hayo katika mkutano wa kuchugua wagombea wa urais wa Tanzania na Zanzibar wiki iliyopita.