Maafisa wa uchaguzi waendelea kuhakikisha upigaji kura ni wa haki Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa uchaguzi wanaendelea na maandalizi ya kuhakikisha wananchi wa Marekani wanapiga kura, wanastahili kupiga kura, na kufuatilia kuripoti matokeo ya uchaguzi.