Maafisa wa Australia wamzuia mcheza Tennis maarufu kuingia Australia

Your browser doesn’t support HTML5

Mcheza Tennis maarufu ulimwenguni Djokovic Jumatano alikataliwa kuingia Australia na serikali ya nchi hiyo na kufutiwa visa yake alishindwa kutoa ushahidi wa kutosha kukidhi mahitaji ya kuingia nchini.