Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yazingatia usawa

Your browser doesn’t support HTML5

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaangalia mafanikio, changamoto na mchango wa wanawake kwenye masuala mbalimbali ikiwemo kurekebisha hali ya usawa.