Los Angeles: Kiongozi wa kabila la jadi la Tongva abuni mikakati ya kuenzi historia yao

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa kabila la jadi la Tongva abuni mikakati ya kuenzi kabila lake ambalo limeishi katika eneo la mji wa Los Angles miaka mingi kabla ya kuwasili kwa Christopher Columbus kwenye fukwe za Marekani akitokea Ulaya. Sherehe ya kwanza ya jadi ilifanyika mwaka 2018.