Lissu asema matumaini ya Rais Samia kuleta mabadiliko yamefifia

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa Chama cha Chadema Tundu Lissu asema matumaini ya kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ataleta mabadiliko ya kisiasa Tanzania yamefifia.