Ligi ya Uingereza Jumapili : Chelsea kuikaribisha Man United

Your browser doesn’t support HTML5

Premier League ya Uingereza itaanza na vijana wa Chelsea au the Blues wakiwakaribisha Manchester United katika pambano kubwa la ligi ya EPL Jumapili katika Uwanja wa Stamford Bridge Uingereza.