Ligi ya Uhispania yakemea kauli za chuki zilizoelekezwa kwa mchezaji wa Real Madrid
Your browser doesn’t support HTML5
Ligi ya Uhispania, La Liga, imekemea kauli za chuki na kusema inafanyia kazi na serikali baada ya repoti za kuwepo kauli hizo zilizotolewa kwa mchezaji wa Real Madrid Vinicius Jr