Ligi ya NBA Marekani: Golden State Warriors watoa taji la nne

Your browser doesn’t support HTML5

Michuano ya Ligi ya NBA Marekani yashuhudia Golden State Warriors wakiishinda Boston Celtics na kutoa taji lao la nne la NBA ndani ya miaka minane la kwanza tangu mwaka 2018.