Kampuni ya LG yafunga kitengo cha simu kinachopata hasara

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni kubwa ya Electronic ya Korea Kusini ya LG itafunga kitengo chake kinachopata hasara cha simu za mkononi baada ya kumkosa mnunuzi.
Maafisa wa idara ya dharura ya Indonesia wamethibitisha mafuriko na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya watu 97.

-Mahakama Malaysia imeanza kusikiliza kesi ya rufaa ya Waziri Mkuu wa zamani Razak ya kutaka kubadili hukumu ya kifungo cha miaka 12 kwa kuhusika na uporaji wa fedha.