Lemala Wild Waters yageuka kivutio kikubwa cha utalii wa ndani Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Waganda wagundua kivutio kipya cha utalii wa ndani cha Lemala Wild Waters baada ya kuzuka kwa janga la corona na kusababisha safari zote za kimataifa kufungwa.