Lebanon na Israeli wasaini mkataba wa kumaliza uhasama

Your browser doesn’t support HTML5

Lebanon na Israeli wamesaini mkataba wa kumaliza uhasama katika mpaka wa baharini na kutoa fursa ya uchimbaji wa mafuta. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari

Maandamano yanaendelea Rome kupinga mkataba kati ya Italia na Libya ya wahamiaji.