LA Lakers warejea katika kilele cha mpira wa kikapu Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Los Angeles Lakers imerudi katika kilele cha mpira wa kikapu Marekani baada ya kushinda taji la NBA la kwanza katika kipindi cha miaka 10 kwa kuishinda Miami Heat 106-93.