Kuregezwa kwa masharti ya biashara Cuba kwa wavutia Wamarekani

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa mara ya kwanza tangu Cuba ilegeze sheria zake kuhusu viwanda binafsi wawekezaji wa Marekani na Cuba wamefanya mikutano Jumatano kuangalia uwezekano wa kufanya biashara katika taifa hilo.

Takriban wawakilishi 25 katika sekta za teknolojia, usafiri na kilimo kutoka wanahudhuria mkutano unaofanyika Havanna.
#cuba #havanna #marekani #uwekezaji #biashara #teknolojia #usafiri #kilimo #voa #voaswahili #dunianileo