Kupigwa risasi Mmarekani Mweusi kwaibua hisia za ubaguzi
Your browser doesn’t support HTML5
Marekani imeshuhudia wimbi jipya la maandamano mwishoni mwa wiki kupinga ubaguzi kufuatia kupigwa risasi Mmarekani Mweusi huko Kenosha, jimbo la Wisconsin.