Kundi la waasi wa M23 mashariki mwa DRC limetoa taarifa liko tayari kuondoka eneo hilo

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetoa taarifa liko tayari kuondoka katika maeneo iliyoyakalia kutimiza masharti muhimu kwenye mkutano wa amani uliofanyika Luanda, Angola.

- Nishangwe kuanzia Casablanca hadi Doha baada ya wawakilishi wa Afrika Morocco waliobaki huko Qatar kuwaangusha vigogo wa soka Ulaya Spain na kusonga mbele kwenye nane bora za Kombe la Dunia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari