Kundi la waasi wa ADF laripotiwa kuvamia jela DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Meya wa Beni asema wapiganaji wenye silaha wanadaiwa ni kundi la waasi wa ADF wamevamia gereza na kuwaachilia wafungwa 1,400.