Kumbukumbu ya Fort Jesus kwa Kenya na Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Fort Jesus nchini Kenya ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii kwa Dunia inakaguliwa na maafisa wa afya kabla ya kufunguliwa rasmi wiki hii kuhakikisha masharti yote ya kudhibiti kuenea kwa COViD-19 yanafuatwa.