Kufuatia mlipuko amri ya kuondoka nje ya uwanja wa ndege Kabul yatolewa

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yawatahadharisha watu waliokusanyika nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kabul kwenda maeneo salama baada ya shambulizi la bomu liliotokea Alhamisi.
- Matukio kadhaa ya moto nchini Kenya yasababisha hali tete.

-Uvuvi wa dagaa na Jamii yake waelezwa kutokuwa na mchango unaostahili Tanzania.