Kuachiwa kwa aliyemuua Chris Hani kwaibua madai ya ukosefu wa usawa

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni mbalimbali yaibuka baada ya Janusz Walus aliyemuua mwananchi wa Afrika Kusini, ambaye alikuwa kiongozi wa vuguvugu la kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo, Chris Hani.

Walus alikuwa ametumikia tayari takriban miaka 30 ya kifungo chake cha maisha na hivi leo ameachiliwa huru kwa masharti magumu. Wananchi wamejitokeza kupinga uamuzi huo wa mahakama na kumeibua madai ya kukosekana usawa. Endelea kusikiliza ripoti kamili...