Korea Kusini: Je, kundi la muziki la Pop la BTS, litapumzika?
Your browser doesn’t support HTML5
Ungana na mwandishi wetu Sunday Shomari anayekuletea yanayovuma katika ulimwengu wa burudani. Katika makala hii anaeleza juu ya taarifa za Nyota wa Kimataifa wa Pop, Korea, BTS, kutangaza kupumzika na mengi mengineyo.