Kongamano la Kiswahili lajadili namna ya kukuza lugha hiyo kimataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Kongamano la Kimataifa la lugha ya Kiswahili ambalo limefanyika Washington DC, Marekani limejadili namna ya kukuza lugha ya Kiswahili duniani.