Kombe la Mataifa la Afrika : DRC yaifunga Jamhuri ya Congo

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yawafunga jirani zao katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 1-0.