Kombe la Klabu Bingwa Barani Ulaya kuanza kwa kishindo

Your browser doesn’t support HTML5

Kombe la Klabu Bingwa Barani Ulaya kuanza na michuano ya kuvutia wakati timu ya Liverpool imepangiwa kupambana na Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya mabingwa Barani Ulaya.