Kombe la Dunia: Saudi Arabia yapata ushindi wa kihistoria

Your browser doesn’t support HTML5

Jiji la Riadh linaripotiwa kusherehekea ushindi wa kihistoria ambao timu ya Saudi Arabia imeifunga mabao 2-1 timu maarufu ya Argentina na hivyo kuushangaza ulimengu.

Endelea kusikiliza uchambuzi kamili unaoletwa na mwandishi wetu aliyoko Qatar na mtaalam wa masuala ya Kombe la Dunia kutoka nchini Tanzania.