Kocha wa timu ya wanawake asema timu yake imejizatiti kuikabili Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Fainali ya Euro 2022: Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Ujerumani anatarajia soka la ushindani wakati timu yake itakapokabiliana na mwenyeji wa michuano ya Ulaya, Uingereza.