Kocha wa timu ya Real Madrid atangaza atawajibika

Your browser doesn’t support HTML5

Kocha wa timu ya Real Madrid Carlo Ancelotti anasema anawajibika baada ya timu yake kufungwa mabao 4 kwa nungwe nyumbani na wapinzani wao Barcelona.

- Wakati huohuo Barcelona wamepanda hadi nafasi ya tatu na wako nyuma ya Real kwa pointi 12 wakiwa na mchezo mkononi.