Kocha wa Falcon asema timu yake iko tayari kwa mashindano ya BAL 2023

Your browser doesn’t support HTML5

Nigeria iko tayari kuwashangaza watu katika Ligi ijayo ya Mpira wa Kikapu barani Afrika. Falcon wako kundi moja na ABC Fighters ya Ivory Coast.

Sikiliza nini kocha wa Falcon anaeleza kuhusu umuhimu wa mashindano hayo ya BAL 2023...