Kocha Muastralia aiandaa Timu ya Morocco kushiriki michuano ya BAL

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya Morocco imekabidhiwa kwa kocha Mwanamke Muastralia ambaye anaiandaa timu hiyo ya wanaume daraja la kwanza kushiriki katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika, BAL nchini Senegal asema anaimani itashinda.