Klabu ya PSG yatangazwa mabingwa wa ligi ya Ufaransa

Your browser doesn’t support HTML5

PSG ni mabingwa wa ligi ya Ufaransa kwa msimu wa 2019/20 baada ya serikali kukataza michezo yoyote kutokana na janga la corona