Kituo cha Red Cross Mombasa Kenya chawasaidia vijana kukuza vipaji

Your browser doesn’t support HTML5

Wavumbuzi chipukizi wenye malengo makubwa nchini Kenya wapata fursa ya kukuza vipaji vyao katika kituo cha Red Cross Mombasa ambapo kuna fursa ya kutumia mashine za kisasa.