Kiongozi wa upinzani Uingereza ataka uchaguzi mkuu uitishwe haraka

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Labor nchini Uingereza ametoa wito wa kuitisha uchaguzi mkuu kufuatia tangazo la kujiuzulu Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss Alhamisi.