Kiongozi wa mapinduzi Sudan atangaza baraza jipya la uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa mapinduzi nchini Sudan Abdel Fattah al-Burhan atangaza baraza jipya la uongozi akijiteua mwenyewe kuwa kiongozi na kuwaacha nje wajumbe wa kiraia wa baraza lililopita.
Matangazo ya Duniani Leo yanawajia kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.#habari