Kiongozi wa kikundi cha Janjaweed cha Sudan afikishwa ICC

Your browser doesn’t support HTML5

Hatimaye kiongozi wa kikundi cha wanamgambo cha Janjaweed cha Sudan afikishwa mahakama ya ICC, The Hague baada ya muongo mmoja.