Kiongozi wa kijeshi Mali apokea rasimu ya katikba mpya
Your browser doesn’t support HTML5
Kiongozi wa kijeshi nchini Mali amepokea rasimu ya katiba mpya ikiwa ni hatua muhimu sana kwa jeshi la nchi hiyo kuendelea kuwa madarakani hadi mwaka 2024.