King John asema haichukulii kirahisi mechi yao Ijumaa usiku

Your browser doesn’t support HTML5

King John asema haichukulii mechi yao ya pili ya ligi ya NBA dhidi ya Miami Heat kirahisi kutokana na majeruhi ya mahasimu wao.