Kina mama wapoteza ajira kutokana na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Kinamama wasio kuwa na waume wapoteza ajira baada ya biashara ya sanaa za mikono kuporomoka kutokana na janga la virusi vya Corona.