Kimbunga Ian chasababisha vifo, mafuriko na uharifu mkubwa Florida

Your browser doesn’t support HTML5

Kimbunga Ian chaleta maafa makubwa katika Jimbo la Florida, kikisababisha hasara kubwa na vifo. Wimbi la dharuba hiyo la daraja la nne lilikuja na upepo unaokwenda kilomita 240 kwa saa, yakifuatiwa na mafuriko na zaidi ya nyumba milioni 2 zilipoteza umeme.

Endelea kusikiliza maelezo zaidi kuhusu athari za kimbunga hiki kwa binadamu na mali zao...
#kimbungaIan #mafuriko #dharuba #hasara #vifo #uharibifu #florida #voa #voaswahili #dunianileo