Kikundi cha diaspora chaanzisha biashara ya parachichi
Your browser doesn’t support HTML5
Kikundi kipya cha wawekezaji cha diaspora kutoka nchini Tanzania chaanzisha biashara ya uuzaji na ununuzi wa zao la parachichi kutoka Tanzania na kutafuta masoko nchi za nje.