Kijana wa DRC aeleza namna vita vilivyomkosesha fursa ya kwenda shule

Your browser doesn’t support HTML5

Kijana wa DRC anaeleza anatamani angekuwa anasoma kwa ajili ya mitihani yake ya mwisho ya shule. Badala yake anafanya kazi mbalimbali katika kambi ya wakimbizi ili kumletea kipato.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea mtiririko wa changamoto zinazomkabili kijana huyu baada ya wimbi la ghasia za waasi kumhamisha kutoka katika makazi yake . Endelea kusikiliza...