Kijana mmoja Kenya ambaye anatumia sanaa kusafisha mazingira

Your browser doesn’t support HTML5

Wasanii tofauti duniani wamejiunga na wanamazingira kusaidia katika juhudi za kuhifadhi mazingira kupitia sanaaa na ubunifu. Nchini Kenya kuna kijana ambaye anatumia sanaa kusafisha mazingira, kujitafutia riziki na kuendeleza kipawa chake cha ubunifu