Kijana aeleza njia mbadala za kusoma wakati wa COVID-19 ni ndoto

Your browser doesn’t support HTML5

Kijana katika mtaa wa majengo mjini Nairobi, Kenya ashindwa kutimiza malengo ya elimu wakati huu wa janga la corona akisema njia mbadala zilizowekwa za kusoma ni ndoto.