Kifo cha Magufuli : Watu watoa maoni tofauti kuhusu rais mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Watu watoa maoni tofauti kuhusu Rais mpya Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli
- Uchaguzi wa Urais nchini Congo Brazzaville wakumbwa na msukosuko baada ya mgombea wa upinzani kufariki.

- Rwanda yathibitisha kuzuka kwa wimbi jipya la maambukizi ya COVID-19.