Kiasi cha watu milioni 2.4 wanataabika kukidhi mahitaji ya chakula

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kufungwa baadhi ya shughuli nchini Zimbabwe ili kudhibiti maambukizo ya COVID-19 ripoti maalum yaeleza kiasi cha watu milioni 2.4 wanahangaika kukidhi mahitaji muhimu ya chakula.