Kesi ya Trump : Waendesha mashtaka waonyesha picha za kusikitisha

Your browser doesn’t support HTML5

Waendesha mashtaka katika Bunge la Marekani Jumatano walionyesha picha za kusikitisha za ghasia za Januari 6, 2021 katika kesi iliyofunguliwa dhidi ya Rais wa zamani Donald Trump.
WHO yasema vifo kutokana na COVID-19 katika bara la Afrika vyakadiriwa kuvuka 100,000.
Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa China Xi Jinping wafanya mazungumzo yao ya kwanza kwa simu.