Kesi ya mauaji ya Floyd yaendelea kusikilizwa

Your browser doesn’t support HTML5

Kesi ya mauaji ya Mmarekani Mweusi hayati George Floyd yaendelea kusikilizwa nchini Marekani ambapo afisa wa polisi wa zamani anatuhumiwa kuwa alifanya mauaji kwa kuweka goti lake juu ya shingo ya Floyd.