DUNIANI LEO : MACHI 4 : Kenyatta azındua usambazaji wa chanjo Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta azindua zoezi la usafirishaji wa chanjo kuelekea maghala ya kaunti mbalimbali nchini.
- CDC Afrika inasema bara la Afrika linahitaji kupata chanjo zaidi ya ile inayotolewa chini ya mpango wa COVAX unaosimamiwa na WHO.
- Mkuu wa Haki za Binadamu UN atoa wito kwa Ethiopia kuruhusu waangalizi kuingia Tigray