Kenyatta atangaza amri ya kudhibiti wimbi la tatu la COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Kenyatta alihutubia Taifa baada ya mwaka mmoja tangu kuripotiwa janga la Corona nchini Kenya na atangaza amri ya kutotoka nje usiku imeongezwa kwa siku 30 kufuatia wasiwasi wa kutuka kwa wimbi la tatu.